Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza
Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika
kamati unaoshughulikia usuluhishi wa mgogoro wa Mashariki ya kati
Quartet, unaohusisha nchi ya Israel na Palestina nafasi ambayo
ameitumikia kwa kipindi cha miaka nane.
| Tony Blair |
Lakini wakosoaji wanasema Blair alipambana katika jukumu ambalo lilikuwa na mipaka katika maendeleo ya kiuchumi na ameshindwa kuleta matokeo chanya.
Afisa mmoja wa Palestina amemlaumu Blair kwa kufanya kazi ili kuwaridhisha waisrael na Marekani. Umoja huo unaundwa na UN, EU nchi ya Marekani na Urusi.
No comments:
Post a Comment