“Mourinho alinitumia ujumbe kwenye simu kuniarifu kwamba nitapata medali na kunitaka niende katika mechi ya mwisho” alisema mchezaji huyo.“Sikujua kama ningepata medali kwakuwa sijacheza sana katika mkondo wa pili wa ligi” aliongeza Schurrle.
Friday, 15 May 2015
Andre Schurrle aeleza hisia zake
Mchezaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle amesema alipata mshangao
kuona ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu ya kocha wake wa zamani
Jose Mourinho ukisema medali ya ubingwa wa ligi kuu ilikuwa inamsubiri
yeye.
Schurrle amejiunga na Wolsburg kwa ya pound million 22 mnamo mwezi
February.Katika msimu huu mchezaji huyo amecheza mara 14 tu katika mechi
za mwanzoni na mara nyingi alikuwa akitokea benchi.
“Mourinho alinitumia ujumbe kwenye simu kuniarifu kwamba nitapata medali na kunitaka niende katika mechi ya mwisho” alisema mchezaji huyo.“Sikujua kama ningepata medali kwakuwa sijacheza sana katika mkondo wa pili wa ligi” aliongeza Schurrle.
“Mourinho alinitumia ujumbe kwenye simu kuniarifu kwamba nitapata medali na kunitaka niende katika mechi ya mwisho” alisema mchezaji huyo.“Sikujua kama ningepata medali kwakuwa sijacheza sana katika mkondo wa pili wa ligi” aliongeza Schurrle.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment