| Bao la dakika za mwisho lililofungwa na Bafetimbi Gomez |
Lakini ikiwa imesalia dakika tano Gomis alipiga kichwa kizuri kilichomwacha kipa wa Arsenal bila Jibu huku teknolojia ya mstari wa goli ikisema kuwa David Ospina aliutoa mpira huo baada ya kupita mstari.
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger baadaye alisema kuwa ushindi huo wa Swansea haukustahili na kwamba timu yake pia haikuwa na bahati.
No comments:
Post a Comment