Nusu fainali ya pili ya Europa ligi
iliendelea usiku wa kuamkia leo wakati Dnipopetrovsk ilipomenyana na
Napoli huku Fiorentina ikiialika Sevilla. Hadi mwisho wa michezo yote
miwili, Dnipro imeingia fainali kwa jumla ya bao 2 kwa 1 bada ya jana
kushinda bao 1-0.
 |
| Wapenzi wa klabu ya Dnipro |
Nayo Fiorentina imetupwa nje kwa jumla ya bao 5-0 baada jana kuzabuliwa bao mbili nyumbani walipocheza dhidi ya Sevilla.
Fainali itapigwa mnamo May 27 huko nchini Poland kati ya Sevilla dhidi ya Dnipropetrovsk.
No comments:
Post a Comment