Friday, 15 May 2015
Wahamiaji 600 waokolewa na wavuvi Indonesia
Zaidi ya wahamiaji mia sita
wamewasili katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia baada ya kuokolewa na
wavuvi mashua yao ilipokuwa ikizama.
Ripoti zasema kuwa mashua nyingine ilirejeshwa Indonesia na jeshi la wanamaji. Mwandishi
wetu anasema kuwa wengi wa watu hao walikuwa wakihitaji matibabu baada
ya kukaa baharini karibu miezi mitatu bila maji wala chakula. Mamlaka za Malaysia imesema kuwa haitaruhusu mashua hiyo kutia nanga katika ardhi yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment