Pages

Thursday, 14 May 2015

Mateso yawakabili wahamiaji wa Rohingya

Boti zaidi yanayowabeba wahamiaji walio na matatizo chungu nzima, yamekwama katika bahari huko Andaman, kutokana na hatua ya serikali ya Thailand, Malaysia na Indonesia kufunga mipaka ya nchi zao.
Wahamiaji
Wahamiaji hao wameachwa baada ya Thailand kuwatimua walanguzi wa watu kutoka katika bahari ya nchi hiyo. Maelfu ya wahamiaji hao ni kutoka katika kabila dogo la Rohingya - kabila linalodhulumiwa na utawala wa Myanmar.
Wahamiaji
Phil Robertson ni naibu mkurugenzi mkuu wa shirika la haki za kibinadamu la Human Rights Watch  anasema kuwa hata ingawa hali ya kisheria kwao bado ina ati ati, wengi wa walioko kwenye maboti hayo hawana maji wala chakula.
Radio na Runinga ya taifa inanganganiwa kwa sasa huku wanajeshi waaminifu kwa rais Nkrunziza ndio wanaoidhibiti.

No comments:

Post a Comment