Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,
Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara
uliofanyika jijini Dar es Salam.
Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina
maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara
ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine
Ndugulile.
.JPG)
Dk. Faustine Ndugulile
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Kigamboni na
Katibu Kata wa chama hicho kabla ya kuanza mkutano.
.JPG)
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho akiongea na
wananchi wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigambo ni Faustine
Ndugulile.
.JPG)
Mwenyekiti Rerikali ya Mtaa wa Tua moyo akifungua Mkutano huo.
No comments:
Post a Comment