Ripoti hizo zilianza kusambaa baada ya mchezaji huyo wa zamani wa
Chelsea mwenye umri wa miaka 28 kusema katika instagram kwamba yeye na
mpenziwe ''wako tayari kungojea''.
 |
| Luiz |
Alisema kwamba.''Dini yangu,ubaatizaji wangu,nafurahia. Watu
wanasema maneno kila mahala kuhusu iwepo mimi sijawahi fanya tendo la
ngono.''Ukweli ni kwamba mimi nishawahi kushiriki katika tendo hilo''.
Aliongezea:Watu wengine katika vyombo vya habari hawaheshimu maisha ya watu. Mimi ninawaheshimu wenzangu kwa hivyo sina bughudha ya aina yoyote.
No comments:
Post a Comment