Lakini mahakama ya rufaa ilifuta kesi hiyo na kutaka kesi ifanywe tena. Bwana Mubarak alipatikana hana makosa, katika kesi zote nyengine, pamoja na kuamrisha mauaji ya waandamanaji, katika mwamko wa Januari mwaka 2011, ambao ulimaliza utawala wake wa miaka 30.
Washtakiwa hao watatu huenda wasitumikie kifungo kwa sababu ya muda waliokaa kizuizini.
(Wana siku 60 kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.)
No comments:
Post a Comment