Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji alikabidhiwa tuzo la mchezaji bora wa ligi ya Uingereza mwezi wa Aprili. ''Sidhani kama kuna mshambuliaji bora kwa sasa barani Ulaya'',''Benteke ndio bora zaidi''.
Mkufunzi huyo wa Villa amesema kuwa hayuko tayari kumuuza nyota huyo wa Villa licha ya kuhusishwa na uhamisho wa Liverpool na Chelsea.
''Benteke haendi kokote mwisho wa msimu hu,u hakuna kilabu inayoweza gharama yake'',.aliongeza.
No comments:
Post a Comment