 |
| Mwigizaji na Mwanamuziki Christina Millian akiwa na mpenzi wake Lil Wayne.
Los Angeles, Marekani |
Mwigizaji na Mwanamuziki
Christina Millian na Lil Wayne wameanzisha mtindo wa kumwagiana sifa
kila siku kupitia mtandao, hali inayoelezwa ni kukolea kwa penzi kati
yao.

Akizungumza
na tovuti ya Perezhilton, Millian alimmwagia sifa mpenzi wake Wayne kwa
kusema kuwa ndiye anayemtia moyo katika utendaji wake wa kazi na
kumfanya ajihisi mwenye bahati kwa kuwa na uhusiano na kijana huyo.
"Kinachonitia moyo na kuniongezea hamasa ya kumpenda, hasikilizi watu
wanasema nini juu yangu," alisema Millian.
No comments:
Post a Comment