Gwaride kubwa lakijeshi mjini moscow tangu kuvunjika kwa Muungano wa Usovieti linaanza muda mfupi unaokuja lakini viongozi wa mataifa mengi ya magharibi hawatahudhuria.
Rais wa Urusi Vladimir Putin
atakuwepo wakati maelfu ya wanajeshi watatembea eneo la Red Square
kuadhimisha miaka 70 ya kuushinda utawala wa kinazi wa Ujerumani wakati
wa vita vikuu vya pili vya dunia.
Marekani na viongozi wengi wa ulaya wamesusia sherehe hizo kupinga kuhusika kwa Urusi kweye mzozo ulio nchini ukrain.
No comments:
Post a Comment