Mkuu wa shirika hilo ambaye ni waziri wa zamani wa mashauri ya kigeni wa uingereza David Milband, anasema kuwa watoa huduma za kibinadamu hawastahili kulengwa .
Saturday, 9 May 2015
Waasi wanaoiunga mkono Urusi mashariki mwa Ukrain wamewaachilia huru raia wawili wa Marekani ambao ni watoa huduma za misaada baada ya kuwazuilia kwa zaidi ya wiki mbili.
Wawili hao ni kati ya wafanyikazi 30 waliokamatwa wakati watu
waliokuwa wamejifunika nyuso walipoivamia ofisi ya shirika moja la
kimataifa la kutoa misaada mjini Donetsk siku kumi zilizopita.
Wafanyikazi wengine waliachiliwa saa 24 baada ya kukamatwa.
Mkuu wa shirika hilo ambaye ni waziri wa zamani wa mashauri ya kigeni wa uingereza David Milband, anasema kuwa watoa huduma za kibinadamu hawastahili kulengwa .
Mkuu wa shirika hilo ambaye ni waziri wa zamani wa mashauri ya kigeni wa uingereza David Milband, anasema kuwa watoa huduma za kibinadamu hawastahili kulengwa .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment