Mchezo huu utachezwa kwenye dimba la Nou Camp, huko Hispania.
Wednesday, 6 May 2015
Ni vita ya Barcelona na Bayern Munich
Kocha Pep Guardiola anarejea Nou
Camp kuiongoza Bayern Munich dhidi ya timu yake ya zamani Barcelona
kwenye Nusu Fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya. Mara ya mwisho
timu hizi kukutana ilikuwa ni mwaka 2013, katika mchezo wa Nusu Fainali
ya Mashindano haya, Bayern Munich, waliwachapa Barcelona Jumla ya Bao
7-0 katika Mechi mbili.
Barcelona wameifunga Bayern Munich mara 1 tu katika Mechi 8 zilizopita za Ulaya na kutoka sare 2 na kufungwa 5. Mechi
hii inakutanisha makocha,waliokuwa wachezaji wa zamani wa Barcelona
Luis Enrique wa Barcelona na Pep Guardiola kwa upande Bayern Munich.
Mchezo huu utachezwa kwenye dimba la Nou Camp, huko Hispania.
Mchezo huu utachezwa kwenye dimba la Nou Camp, huko Hispania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment