| Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. |
| Omotola akiwa na mumewe. |
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha yetu ya ndoa ni kupika na mume wangu huwa anakwenda sokoni na dukani kwa ajili ya kununua mahitaji mbalimbali,”
alisema Omotola.
Mama huyo wa watoto wane, aliongeza: “Huwa siendi kabisa sokoni wala dukani, hiyo ni kazi ya mume wangu, mimi napika tu chakula cha aina yoyote ambacho mume wangu atahitaji.”
No comments:
Post a Comment