Wakimbizi wa Burundi.
|
Aidha Warundi 77 kwenye kambi ya Nyarugusu, Magharibi mwa Mkoa wa Kigoma, na wengine 300 kwenye kijiji cha Kagunga nchini Burundi na Kigoma nchini Tanzania wanatibiwa kwa sababu ya ugonjwa wa kuhara.
| ...wakiwa kambini. |
Halikadhalika UNHCR inachukua hatua za kuimarisha usafi na mifumo ya kusafisha maji machafu, pamoja na kuhamisha wakimbizi kutoka Kagunga hadi Kigoma na kambi ya Nyarugusu Kwa mujibu wa mamlaka za serikali ya Tanzania, idadi ya wakimbizi kutoka Burundi imefikia 70,000 nchini Tanzania, 50,000 wakiwa wanaishi kwenye mazingira magumu kwenye kijiji cha Kagunga.
NA BBC
No comments:
Post a Comment