Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan
amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia
ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa
amelewa mjini Mumbai.
| Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan. |
Khan amedai kuwa dereva wake ndiye anayepaswa kulaumiwa lakini mashuhuda wanasema mwigizaji huo ndiye aliyekuwa kwenye usukani na alikimbia baada ya kutokea kwa ajali hiyo.
Kwa mujibu wa Jaji wa mahakama hiyo, Khan anaweza kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.
No comments:
Post a Comment