TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin
akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati
wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya
Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo
Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin
akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya
Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali
ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani
ya Sh.Milioni 22.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin
Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa
kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji
cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi
karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh.
Milioni 22.
Afisa Uhusiano wa TBL Dorris Malulu akizungumza na baadhi ya
viongozi Serikali ya Kijiji pamoja na uongozi wa Kituo cha Afya cha
Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu
mkoani Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya kituo
hicho vyenye thamani ya Sh. Milioni 22, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni
ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin na kushoto kwake ni Meneja Mradi
Kilimo cha Shayir Dk. Basson Bennie.
Mwananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya
Mbulumbulu wilayani Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la
Shayiri akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert
Jarrin mara baada ya kukabidhi Kituo cha Afya cha Kijiji hicho vifaa
mbalimbali vya matibabu.
Maofisa wa TBL wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya
kukabidhi vifaa kwa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba
kilichopo wilayani Karatu, katikati ni Afisa Uhusiano Dorris Malulu,
kushoto kwake ni Mkurugenzi Jarrin na kulia kwake ni Meneja mradi wa
Kilimo cha Shayiri Dk. Basson
Mkurugenzi wa Kiwanda cha TBL Robert Jarrin akiwa anangalia
baadhi ya vifaa na Mganga wa Hospitali ya wi;aya ya Karatu Dk. Lucas
wakati wa makabidhiano ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi
ya Simba Kata ya Mbulumbulu.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert
Jarrin wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya
cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert
Jarrinwakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya
cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.
Mganga wa Mfawidhi wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akizungumza
wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya hospitali kwa ajili ya
kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya
Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa TBL Robert Jarrin akiwa pamoja na Meneja Mradi wa
Kilimo cha Shayiri Dk. Basson wakitembelea jengo la Kituo cha Afya cha
Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya mBULUMBULU wilayani Karatu wakati wa
hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwenye kituo hicho.
Mganga wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akibadilishana na mawazo
pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin
wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwa Kituo cha Afya cha
Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani
Arusha.
No comments:
Post a Comment