Huku matokeo ya theluthi moja ya maaneo bunge yakiwa yametangazwa waziri mkuu David Cameron anaonekana kurejea afisini lakini bila idadi kubwa ya wabunge ikimaanisha kuwa Chama cha Conservative kitalazimika kuunda serikali ya muungano.
Friday, 8 May 2015
Uingereza: Cameron na Conservatives waongoza
Waziri mkuu David Cameron anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza hiyo jana. Chama chake cha Conservative kimejiongezea hadi sasa jumla ya viti 20 na kusajili ushindi katika majimbo 279.
Chama
kikuu cha upinzani Chama cha Leba kimesajili jumla ya viti 217 hii
ikiwa na viti 25 chini ya idadi iliyokuwa nayo katika bunge lililopita
Huku matokeo ya theluthi moja ya maaneo bunge yakiwa yametangazwa waziri mkuu David Cameron anaonekana kurejea afisini lakini bila idadi kubwa ya wabunge ikimaanisha kuwa Chama cha Conservative kitalazimika kuunda serikali ya muungano.
Huku matokeo ya theluthi moja ya maaneo bunge yakiwa yametangazwa waziri mkuu David Cameron anaonekana kurejea afisini lakini bila idadi kubwa ya wabunge ikimaanisha kuwa Chama cha Conservative kitalazimika kuunda serikali ya muungano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment