Mkewe na makundi ya haki za kibinadamu yameonya kuwa huenda akafariki ikiwa hukumu hiyo yote itatekelezwa. Bwana Badawi alikamatwa kufuatia blogi aliyoanzisha ambayo ilikashifu baadhi ya tamaduni nchini Saudi Arabia.
Sunday, 7 June 2015
Blogger aliyetusi uislamu kuadhibiwa
Mkewe na makundi ya haki za kibinadamu yameonya kuwa huenda akafariki ikiwa hukumu hiyo yote itatekelezwa. Bwana Badawi alikamatwa kufuatia blogi aliyoanzisha ambayo ilikashifu baadhi ya tamaduni nchini Saudi Arabia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment