Shirika la afya duniani WHO linasema
kuwa mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome au MERS nchini
Korea Kusini na mkubwa na huenda kesi zaidi zikaripotiwa.
Utawala nchini korea kusini unasema kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa MERS huku 14 wakijulikana kuaga dunia.
No comments:
Post a Comment