JANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VITANO
January Makamba akitangaza nia ya Urais leo.
Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar.
Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais
kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya
CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama. Mhe. January ametangaza nia yake katika Ukumbi uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam jioni hii.
No comments:
Post a Comment