michuano hiyo ya kombe la dunia kwa wanawake liliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili kupigwa kati ya Norway na thailand.
Ujeruman ilioonesha kazi pwani ya samawati, naizungumzia ivory coast na matokeo yalikuwa hivi,Norway waliibuka na mtaji wa magoli manne huku Thailand wakikubali matokeo, na kutulia na yai.
kwa upande mwingingine kwenye mechi ya pili ujerumani walijizolea magoli yao mawili na kuwaacha Ivory coast mikono mitupu.
No comments:
Post a Comment