Stanislas Wawrinka kidedea Ufaransa
Stanislas Wawrinka atwaa ubingwa katika michuano ya wazi ya Ufaransa maarufu kama FRENCH OPEN. Wawrinka
amefanikiwa kutwaa ubigwa wake wa kwanza wa michano ya wazi ya ufaransa
kwa kumbwaga Novak Djokovic kwa seti 4-6 6-4 6-3 6-4 mchezo uliofanyika
kwenye uwanja wa Roland Garros.
Nyota huyu wa tenesi mwenye miaka
30 alianza vibaya kwenye raundi ya kwanza kabla ya kurudi vizuri
kuanzia raundi ya pili mpaka ya nne.
“Nataka nimshukuru kocha
wangu Magnus Norman. Tulifika fainali mara mbili bila kushinda huu ni
ushindi wake na wangu” alieleza mchezji huyo baada ya kumalika kwa
mchezo huo.
Ushindi huu unamfanya Wawrinka kuwa mchezaji wa kwanza
wa urusi kushinda katika dimba la Roland Garros baada ya Roger Federer
kuondosha katika nusu fainali.
No comments:
Post a Comment