Pages

Monday, 8 June 2015

KONGAMANO LA WANAFUNZI WA MASOKO NA BIASHARA

Mwenyekiti wa Chama cha wanafunzi wanaosoma Kitivo cha Masoko cha Chuo Kikuu UDSM ( DUMA ) Dkt. Uliwmengu akitoa historia fupi ya Tuzo za ACHIVERS AWARDS  katika  kongamano la wanafunzi wanaaosoma Kitivo cha Masoko na Biashara lilifofanyika Jumamosi iliyopita UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA.
Mkurunezi wa IPP media Dr Regnald  Mengi akitoa hamasa wanafunzi kwueza kutumia fursa kuweza kutengeneza mawazo ya kibiashara katika kongamano la wanafunzi wanaosoma masoko na biashara
Wanafunzi wakifautilia kwa makini kongamano hilo la Marketing Forum.
Washiriki wa kongamano wakionekana kushangilia baada ya Dkt. Mengi kuwa anatarajia kuzindua kitabu chake kipya mwishoni mwa mwaka huu.
Dkt. Kitila Mkumbo akipokea tuzo ya mwanasiasa anayependwa sana na mwenye mvuto kwa jamii ambayo tuzo ilienda kwa Zitto Kabwe.
Mlezi Dkt. David Rweikiza akitoa tuzo kwa mwanamitindo anayependwa ambayo tuzo ilienda kwa Sheria Ngowi, alipokea na mwakilishi wake.
Mkurungezi wa masoko wa Vodacom Kelvin Twisa akitoa tuzo kwa mtangazaji  anayependwa  amaba  yo tuzo ilienda kwa Millard, tuzo ilipokelewa na mwakilishi wake anayefahamika kwa kama Askofu.
Mkurungezi wa AEG LTD, Iman Kajula akitoa tuzo kwa Diamond Platinumz kama msanii anayependwa, tuzo tuzo ilipokelewa na mwakilishi wake Niki wa Pili.
Mkurungezi wa IPP media Dkt. Reginald Mengi akitoa shukrani kwa waandaaji wa tuzo hizo.




Washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa kwenye kongamano hilo.
Mkurungezi na mwanzilishi wa Mwanaharakati Mzalendo  Media pia Mkurungezi mtendaji wa kajo itech ambao walikuwa ni wadhamini rasmi wa kongamano hili, Krantz Mwantepele akiongea na wanafunzi jinsi gani wanweza kufungua fursa za baishara na kuweza kujiajili kutumia mitandao ya kijamiii pia kuweza kutumia vizuri mitandao kupata  kujuana na marafki wa zamani na sasa.

Picha/habari: MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA

No comments:

Post a Comment