Pages

Tuesday, 16 June 2015

MAMA SALMA AHUTUBIA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI


 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa  Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na  Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe  15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.
 
 Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali
yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika  (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

 
 Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali
yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika  (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

 
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa  wanawake na Maendeleo katika Bara hili.


 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Idara ya  Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Dr. Sarah Maongezi  wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku  akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo  (katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijiandaa kutoa hotuba yake ya mwisho  kwenye Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika unaofanyika  huko Johannesburg Afrika Kusini

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao  cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye  Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao  cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye  Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi
wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini  
 
 

PICHA NA JOHN LUKUWI.

No comments:

Post a Comment