Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo (Kulia) Meneja wa Huduma
kwa Jamii wa NHC, Muungano Saguya na Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa
NHC, Yahya Charahani wakiimba wimbo wa solidarity forever wakati wa
hafla hiyo.
Mwenyekiti wa TAMICO Taifa,
Mbaraka Igangula akizungumza katika hafla hiyo wanaoshuhudia ni Naibu wa
Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga na Katibu Mkuu wa Tamico, Hassan
Ameir.
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (wa kwanza kulia)
akimkabidhi Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), James Rhombo tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2014 mara baada ya
Shirika hilo na mengine mawili kutangazwa kuwa mwajiri bora wa mwaka
2015 iliyotolewa na Chama Cha Wafanyakazi wa Migodini, Ujenzi, Nishati
na Kazi nyingine (TAMICO). Katikati ni Mwenyekiti wa TAMICO Taifa,
Mbaraka Igangula akishihudia. Katika tuzo hizo jumla ya waajiri 160
walishindanishwa na kupatikana watatu bora ambao ni NHC, Kampuni ya
kuchimba madini ya Geita Gold Mining (GGM) na Wakala wa Ujenzi wa
Barabara Tanzania (Tanroad).
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa
NHC, Muungano Saguya akiwa ameshikilia tuzo ya mwajiri bora wa mwaka
2015 huku Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), James Rhombo na Katibu wa Tamico, NHC Iddi Kitete wakishuhudia.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo akizungumza kutoa shukurani wakati wa hafla hiyo
Picha ya pamoja
Mwenyekiti wa TAMICO Taifa,
Mbaraka Igangula akizungumza katika hafla hiyo wanaoshuhudia ni Naibu wa
Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga na Katibu Mkuu wa Tamico, Hassan
Ameir.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,
Makongoro Mahanga (wa kwanza kulia) akikabidhi kwa Mkurugenzi wa
Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo tuzo
ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2014 mara baada ya Shirika hilo na mengine
mawili kutangazwa kuwa mwajiri bora wa mwaka 2015 iliyotolewa na Chama
Cha Wafanyakazi wa Migodini, Ujenzi, Nishati na Kazi nyingine (TAMICO).
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa
NHC, Muungano Saguya akiwa ameshikilia tuzo ya mwajiri bora wa mwaka
2015 huku Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), James Rhombo na Katibu wa Tamico, NHC Iddi Kitete wakishuhudia.

No comments:
Post a Comment