Rais Omar al-Bashir, ameapishwa kwa
muhula mwengine wa miaka mitano baada ya kupata ushindi mwengine kwenye
uchaguzi mkuu uliofanyika April.
Viongozi wa Kenya , Misri na Zimbabwe ni baadhi ya waliohudhuria sherehe hiyo ya kuapishwa kwa Al Bashir ambaye amekuwa madarakani tangu alipochukua hatamu za uongozi kupitia mapinduzi ya mwaka 1989.
No comments:
Post a Comment