| Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. |
| Vurugu Burundi. |
Mabadiliko hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko tangu Rais Piere Nkurunziza kutangaza nia ya kuongoza kwa awamu ya tatu. Umoja wa Mataifa umeelezea jinsi mgogoro huo ulivyoongeza idadi ya wakimbizi wanaoikimbia Burundi, hivyo kumtaka rais huyo kuachia ngazi mwezi huu kama makubaliano ya Azimio la Arusha yalivyoelekeza.
Uchaguzi wa wabunge ulitarajiwa kufanyika kesho Ijumaa (Juni 5) na wa urais ulipangwa Juni 26, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment