Pages

Saturday, 6 June 2015

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI SHINDANO LA TMT 2015

Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha
 
 
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza

Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja vya makumbusho ya taifa jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuonyesha viapji vyao vya kuigiza katika shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 mpakakieleweke wakisubiri kuingia kwa majaji tayari kwa Kuanza kuonyesha vipaji vyao katika Ukumbi wa Makumbusho ya taifa uliopo jijini Dar Es Salaam mapema leo

 
Baadhi ya washiriki wakianza kuonyesha yao kabla ya kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza



Wakichukua fomu za usajili kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015.


Washiriki wakiwa kwenye foleni.


Picha: Josephat Lukaza

No comments:

Post a Comment