Korea Kusini imesema watu watatu
wamefariki duniani kutokana na ugonjwa wa Middle East Respiratory
Syndrome au MERS na kufikisha idadi ya watu 18 waliokufa kutokana na
ugonjwa huo.
Mlipuko wa MERS ulioanza mwezi Mei ni mlipuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea nje ya Saudi Arabia.
No comments:
Post a Comment