| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akichukua fomu za urais mkoani Dodoma leo. |
Katika mkutano wake na wanahabari amekataa kuelekezea mengi kama walivyofanya watangaza nia wenzake ili kutoingilia ilani ya chama chake.
Asema ana uzoefu wa uongozi na mafanikio yote ya wizara nchini yeye ndiye kiranja wake.
Apanga kuongeza ukuaji wa uchumi wa pamoja ili kuondoa umbali kati ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho.
No comments:
Post a Comment