Kiungo wa Argentina Esteba Cambiasso amekataa mkataba wa kubaki timu ya Leicester City ya England. Kiungo huyo mwenye miaka 34 alijiunga na Foxes kwa mkataba mwaka mmoja uliomalizika mwezi uliopita.
 |
| Cambiasso |
Kocha mpya Claudio Ranieri amesema alizungumza na Cambisso kuhusu mkataba mpya na alijaribu kushawishi " Rudi nyumbani".
Hata
hivyo mchezaji huyo wa zamani wa Inter Milan na Real Madrid alisema
katika taarifa yake kwamba " Nimeamua kutosaini mpya mkataba na
Leicester City.
No comments:
Post a Comment