JAMES LEMBELI NA ESTER BULAYA WAKABIDHIWA KADI ZA CHADEMA
Ester Bulaya na James Lembeli kwenye Mkutano wa Chadema hii leo jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama, Mh.
James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester
Amos Bulaya kwenye Mkutano wa chama hicho jijini
Mwanza.
No comments:
Post a Comment