| Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. |
| Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Mashujaa mjini Misenyi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. |
| wakazi wa mji wa Misenyi katika viwanja vya mashujaa wakishangilia mara huku wakiendelea kumsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. |
No comments:
Post a Comment