Makamanda wa kijeshi kutoka pande
mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini wanakutana mjini Addis Ababa
nchini Ethiopia kujadili njia za kutekeleza makubaliano ya kusitisha
vita.
| Makamanda wa Sudan.K wakutana Ethiopia |
Makubaliano ya amani yaliyotiwa sahihi mwezi uliopita yakiwa na lengo la kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe hayakutekelezwa huku pande zite zikilaumiwa kwa kukiuka makubaliano hayo.
No comments:
Post a Comment