 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba
akiwa katika mikutano yake ya Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni
wa nne katika kuomba kura kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi
ya mwaka 2015/2020 jinsi ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar
katika Sekta mbali mbali za Kijamii. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Micheweni Pemba Ndg Shamata
Khamis. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Wingwi Pemba Ndg Said Omar
Said,. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Konde Pemba Ndg Omar Seif
Abeid. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Tumbe Pemba Ndg. Ali
Khamis. Bakar. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Micheweni Pemba Ndg Khamis. Juma
Bakar. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Wingwi Pemba Ndg Khamis. Shaame |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Konde Pemba Ndg Ramadhani Omar. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge
kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la Tumbe Pemba Ndg Rashid Kassim
Abdalla. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Udiwanbi
katika Wilaya ya Micheweni Pemba kupitia Chama cha Mapinduzi, wakati wa
mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya micheweni Pemba. |
 |
| Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Shein, akizungumza
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai wakiwa katika
viwanja vya mkutano wa kampeni katika viwanja vya Jimbo la micheweni
Pemba. |
 |
| Mgombea Urais Zanzibar Dk Shein,
akiwa na Viongozi wa CCM kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg
Vuai Ali Vuai na kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba
wakifuatilia mkutano huo wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe
Mohammed Aboud akihutubiwa katika mkutano huo wa kampeni viwanja vya
micheweni Pemba. |
 |
| Wanachama wa CCM wakimshangilia
Mgombea Urais wa Zanzibar wakati wa mkutano wake wa Kampeni kisiwani
Pemba uliofanyika katika viwanja vya Micheweni Pemba. |
 |
| Wananchi wa Wilaya ya Micheweni
Pemba wakifuatilia hutuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed
Shein, katika viwanja vya micheweni Pemba akiwa katika mkutano wake wa
kampeni kisiwani humo kuomba kura kwa mara ya pili kuongoza Zanzibar kwa
Maendeleo ya Wananchi wake kuwapatia maendeleo katika Sekta mbalimbali
za Jamii. |
Wananchi wa Wilaya ya Micheweni
wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein,
wakati wa mkutano huo uliofanyika katika viwanja hivyo.
Wanachama wa CCM wakishangilia
wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar katika
viwanja vya Micheweni Kisiwani Pemba.
 |
| Mhe Ramadhani Abdalla Shabani
akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba wakati wa Mkutano wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar na kuwaambia msemaji wa uchimbaji wa mafuta
Zanzibarb ni yeye hakuna mtu mwingine na suala hilo liko tayari
kinachosubiriwa ni kupitisha sheria hiyo kuaza kazi ya uchimbaji wa
mafuta Zanzibar. |
 |
| Wanachama wa CCM Pemba
wakishangilia Sera za CCM wakati wa Mkutano huo wa kampeni ya Urais wa
Zanzibar katika viwanja vya Micheweni Pemba. |
No comments:
Post a Comment