Raisi Barrack Obama amemualika ikulu
mvulana wa kiislamu mwenye umri wa miaka 14 mara baada ya kushikiliwa
na polisi kwa muda baada ya kupeleka shuleni saa aliyoitengeneza
mwenyewe nyumbani na mwalimu wake kudhania kuwa ni bomu.
| Kijana Ahmed Mohamed aliyekamatwa akihofiwa kupeleka bomu shuleni |
Hapo jumatatu kijana huyo alishikiliwa na polisi baada ya mwalimu wake alipotoa taarifa polisi kuhusu chombo alichokuja nacho shuleni. kikundi cha kiislamu nchini Marekani kilizungumzia suala hilo kuwa kijana huyo alikamatwa kwa kuwa ana Imani ya Kiislamu.
Taarifa ya kukamatwa kwake kulileta hisia tofauti katika mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment