Kumekuwa na dalili za kuongezeka
misukosuko kati ya nchi za ulaya, wakati zinapojaribu kukabiliana na
maelfu ya wahamiaji na wakimbizi wanaojaribu kufika kaskazini na
magharibi mwa ulaya.
| Wahamiaji wasababisha msukosuko ulaya |
Akiongea na BBC waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Croatia Vesna Pusic, ametaka kuwepo hatua za pamoja kutatua suala hilo na kujumuisha nchi zote za ulaya na nchi majirani.
No comments:
Post a Comment