| Beki wa kushoto wa Liverpool Joe Gomez |
Kinda huyo amecheza michezo mitano ya ligi kuu msimu huu toka alipojiunga na Liverpool akitokea timu ya Charlton kwa dau la pauni million 3.5.
Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza siku ya jumamosi dhidi ya Tottenham huku akikosa huduma ya beki huyo.
No comments:
Post a Comment