Polisi wanasema kuwa watu kumi waliuawa katika kisa hicho akiwemo mpiga picha huyo wa runinga Christophe Nkeza-bahizi, mkewe na wanawe wawili pamoja na afisa mmoja wa polisi.
| Waziri wa usalama nchini humo Bunyoni |
Ghasia nchini Burundi, zilianza mwezi Aprili mwaka huu, baada ya Rais Pierre Nkurunziza kutangaza angewania muhula wa tatu wa urais.
Katika miezi ya hivi karibuni, Burundi imeku mbwa na wimbi la mauaji ya kiholela ya wanaharakati wa upinzani na maafisa wa usalama.
Haijajulikana mara moja ni nani aliyewateka nyara maafisa hao wa polisi.
No comments:
Post a Comment