Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani
kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na
kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....