Pages

Friday, 26 August 2016

Jenerali Ulimwengu Kapata Ajali mapema asubuhi leo

Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali asubuhi mapema leo. Yupo Hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.
IMG_20160826_114200.jpg

CqxXkThWcAQOn-Z.jpg