Mchezajii wa kilabu ya Tottenham
Emmanuel Adebayor amepewa mapumziko kwa mara ya pili msimu huu lakini
hatma yake katika kilabu ya Spurs haijulikani.
Atakosa mechi ya siku ya jumapili kati ya kilabu yake na Everton mbali na ziara ya Kuala Lumpur na baadaye nchini Sidney.
''Tumempa mda wa kusuluhisha mzozo na familia yake'',alisema kocha wa kilabu hiyo Mauricio Pochettino.Ni miasha yakje ya kibinafsi .Niliongea naye mapema wiki hii,ni hali ngumu kwake''.
Adebayor alijiunga na klabu ya Spurs mwaka 2011 kutoka Manchester City kupitia mkopo kabla ya mabao 18 aliyofunga akiwa na Hotspurs kumwezesha kupewa kandarasi ya kudumu.
No comments:
Post a Comment