Wachezaji wa klabu ya Barcelona
watavalia jezi maalum katika mechi yao ya mwisho msimu huu ili kutoa
heshima kwa kiungo wao wa kati Xavi ambaye anakamilisha uhusiano wake wa
miaka 24 na klabu hiyo .
Xavi mwenye umri wa miaka 35 ambaye atajishindia medali yake ya nane ya la liga alitangaza siku ya alhamisi kwamba ataondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu ili kujiunga na kilabu ya Qatar Al Saad.
Amesema kuwa uamuzi huo umekuwa mgumu kwake.
No comments:
Post a Comment