Umoja wa Mataifa unasema kuwa zaidi ya nusu ya watu wanahitaji msaada huku wengine milioni 2.5 wakikabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula.
Saturday, 23 May 2015
Salva Kiir:Vikwazo vitachochea vita
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa vikwazo vya kimataifa vitachochoea zaidi vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Muungano
wa Afrika na shirila la maendeleo la nchi za kusini mwa afrika IGAD
wametishia vikwazo huku kukiwa na shutuma kuwa rais Kiir na hasimu wake
Riek Machar wameshindwa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Umoja wa Mataifa unasema kuwa zaidi ya nusu ya watu wanahitaji msaada huku wengine milioni 2.5 wakikabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula.
Umoja wa Mataifa unasema kuwa zaidi ya nusu ya watu wanahitaji msaada huku wengine milioni 2.5 wakikabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment