Hofu kubwa imetanda Kaskazini mwa
nchi ya Kenya,baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba kundi la wapiganaji wa
Al shabaab Limeviteka vijiji kadhaa katika mpaka wa Kenya na somalia.
Naibu kamishna wa kaunti ya Mandera amenukuliwa akisema kwamba wamepokea ripoti za kuwepo kwa wapiganaji hao na watawaandama na kulidhibiti eneo hilo.
No comments:
Post a Comment