| Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma kwa ajili ya Kuchukua fomu ya kuwania urais wa Tanzania mwaka 2015. |
| Mwigulu akisaini kitabu cha wagombea urais kupitia chama cha CCM. |
| Mwigulu Nchemba na mke wake Bi.Neema Mwigulu wakifurahia kukabidhiwa kwa fomu za kugombea urais ambazo ndani yake atatakiwa kutafuta wadhamini katika mikoa 15 nchini. |
| Mwigulu akiwa anateta jambo na mtu mwenye ulemavu mara baada ya kuchukua fomu za urais. |
| Mwigulu Nchemba akimtambulisha mke wake Neema Ngure. |
| Wananchi waliojitokeza kumsindikiza Mwigulu wakati wa uchukuaji wa fomu. |
| Mwigulu akiagana na wananchi waliofika kumsapoti wakati anachukua wa fomu ya kuwania urais wa Tanzania mwaka 2015. |
No comments:
Post a Comment