| Louis Van Gaal |
Meneja wa Klabu ya Manchester United
Louis van Gaal ambaye baada ya Ushindi wa jana mabao 3-2 dhidi ya
Southampton sasa amesema kikosi chake kina uwezo wa kuchukua ubingwa wa
Ligi ya England katika msimu huu wa ligi.
Ushindi huo umeipeleka klabu ya Man U mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu nyuma ya vinara Manchester City waliopoteza katika mchezo katika mchzo dhidi ya West Ham 2-1 siku ya jumamosi. Matokeo mengine Tottenham iliichapanga Crystal Palace 1 - 0. Liverpool ikitoka sare ya 1 kwa 1 Norwich City.
No comments:
Post a Comment