FIGISU ZA WASSIRA: Mahakama ya rufani yatupilia mbali ombi la wakili ESTER A.Bulaya (Tundu Lissu)
Hatimaye kesi ya ubunge jimbo la Bunda Mjini mahakaya rufani
yatupilia mbali ombi la wakili Esther A.Bulaya (Tundu Lissu) na kuruhusu
kesi hiyo iendelee kusikilizwa katika mahakama ya mkoa huko mjini Musoma